Majaliwa kassim majaliwa biography of albert
Majaliwa kassim majaliwa biography of albert
Member of Parliament | CV ya Kassim Majaliwa - CV za Wabunge.
Kassim Majaliwa: Mfahamu waziri mkuu wa Tanzania
Chanzo cha picha, Ofisi ya Waziri Mkuu, TZ
Bwana Majaliwa Kassim Majaliwa, ambaye anaendelea na wadhifa wa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa muhula wa pili, alizaliwa tarehe 22 Desemba mwaka 1960 yaani miaka 60 iliyopita.
Kitaaluma ni Mwalimu aliyepata elimu yake ya Ualimu katika chuo cha ualimu cha Mtwara mwaka 1991-1993, na baadae kujiendeleza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Stockholm nchini Sweden.
Kutoka mwaka 1984 mpaka 2006 amehudumu katika nafasi mbalimbali kama mwalimu na kiongozi wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT).
Mwaka 2006 Majaliwa aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya na kisha akajitosa kwenye siasa za ushindani mwaka 2010 alipogombea na kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi.
Baadaye aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ofisi ya Waziri Mkuu wakati wa serikali ya awamu ya nne.
Bw Majaliwa ameidhinishwa kuwa Waziri Mkuu na Bunge baada ya jina